Mchoro huu ulitengenezwa kwa kutumia Akili Bandia (AI). Mnafikiriaje?
Kiingereza: Dress for the job you want, not the job you have.
Watu huona uwezo wako kupitia tabia zako na uhodari wako, lakini pia kupitia nguo zako. Ukitaka kuwa meneja, vaa nguo za heshima ili wafanyakazi wenzako waweze kutambua uwezo wako haraka zaidi. Ukitaka kuwa msanii, valia kama msanii.
Methali haisemi watu wanapaswa kufanana, bali inatuhimiza tuanze leo kuishi maisha tunayotaka kuishi katika siku zijazo.