You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Chati ya Kufuatilia Wengi wa Virusi wa Uzingatiaji Ulioboreshwa - Wanawake Wajawazito na Wanaonyonyesha
Kimeandikwa na Chuo Kikuu cha Columbia
Mchapishaji Mpango wa Dharura wa wa Rais wa Marekani wa Kukabliana na UKIMWI (PEFPAR)
sw
Kurasa 54
Pakua
13.5 MB
Kusudi la chati hii ni kuwapa wanawake wajawazito na wanaonyonyesha ambao wanapokea dawa za kudhibiti virusi vya ukimwi (ARV) maelezo kuhusu ufuatiliaji wa wingi wa virusi—ikijumuisha maana ya matokeo ya kipimo cha wingi wa virusi na madhara ya kuwaambukiza watoto wao wachanga—pamoja na ushauri kuhusu tathmini ya uzingatiaji na ushauri, hasa kwa watu walio na ongezeko la wingi wa virusi, ambao wanahitaji kupokea ushauri wa uzingatiaji ulioboreshwa. Chati hii iliundwa ili itumike na watoa huduma mbalimbali za afya (k.m. washauri wa uzingatiaji, madaktari, wauguzi, wanafamasia, wahudumu wa afya kwa jamii) ambao huwahudumia wanawake wajawazito na wanaonyonyesha ambao wanaishi na HIV, pamoja na familia zao.
...
Hati hii ya kazi iliundwa na ICAP katika Chuo Kikuu cha Columbia kwa ufadhili kutoka kwa Mpango wa Dharura wa wa Rais wa Marekani wa Kukabliana na UKIMWI (PEFPAR) kupitia vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) chini ya makubaliano ya ushirikiano nambari U2GGH000994. Maudhui yake ni wajibu wa waandishi pekee na wala hayawakilishi kikamilifu maoni ya Serikali ya Marekani. Kwa maswali, tafadhali wasiliana na ICAP kupitia icap- communications@columbia.edu.
...
Shukrani kwa Mpango wa Dharura wa wa Rais wa Marekani wa Kukabliana na UKIMWI (PEFPAR)
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all