Shindano la Insha ya Methali
Piga Kura Sasa - 50,000/= kwa Mshindi wa Kwanza!
Piga Kura Sasa - 50,000/= kwa Mshindi wa Kwanza!
Insha 3 zitakazopata nyingi zaidizitajishindia zawadi. Mtu yeyote anaye akaunti ya Maktaba.org anaweza kupiga kura kwa kubongeza karibu na insha.
Utaweza kupiga kura kwa insha zozote unazozipenda. Jifunze zaidi: Masharti na Vigezo