You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Mbinu za Wanyeji za Kuleta Maendeleo ya Dunia
Maarifa Asilia
Kimeandikwa na World Bank
Mchapishaji Kikundi cha Maarifa na Ujifunzaji, Kanda ya Afrika, Benki ya Dunia
sw
Kurasa 288
Pakua
1.0 MB
Chapisho hili ni matokeo ya ushirikiano wa kimataifa wa mtandao wa wakuzaji, watendaji na watetezi wa maarifa asilia. Wahariri wanawashukuru wale wote waliochangia kwa makala zao. Kwa zaidi ya miaka mitano, waandishi wa Tini za MA wametumia muda na juhudi zao kuchangiana uzoefu, maoni na mafunzo waliyojifunza. Wahariri wanaamini kwamba waandishi watapeleka shukrani zao kwa wale ambao ndio chanzo cha maarifa yanayojadiliwa hapa: jumuia, wakulima wanawake, waganga wa jadi, wakunga, wazee wa vijiji, wafugaji na wengine wengi. Wahariri wanatoa shukurani za dhati kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin W. Mkapa, ambaye ameandika utangulizi wa chapisho hili na ambaye ujumbe wake mkuu tumeutumia kwenye jina la kitabu hiki: Mbinu za Wenyeji za Kuleta Maendeleo ya Dunia.
...
Shukrani kwa Kikundi cha Maarifa na Ujifunzaji, Kanda ya Afrika, Benki ya Dunia
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all