You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"
You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Uzazi wa Mpango
Mwongozo wa Watoa Huduma ya Afya Duniani
Publisher WHO - Shirika la Afya Duniani
sw
Pages 387
Download
6.9 MB
Kutoka Shirika la Afya Duniani Kazi ya kupanga uzazi imeendelea kubaki bila kukamilika. Mbali na maendeleo makubwa katika miongo kadhaa iliyopita, zaidi ya wanawake milioni 120 duniani kote wanataka kuzuia kupata mimba, lakini wao na wenza wao hawatumii njia za kuzuia mimba. Sababu za kutotimiza mahitaji hayo ni nyingi: Huduma na usambazaji wa njia za uzazi wa mpango haujafanyika kwa kila mahali au kumekuwa na fursa ndogo ya uchaguzi. Woga wa kutokubaliwa na jamii au upinzani wa wenza wao umewasababishia vikwazo vya vitisho. Woga wa athari mbaya na matatizo ya kiafya huwafanya baadhi ya watu wasite; wengine hawana maarifa juu ya njia ya kuzuia mimba na jinsi ya kutumia. Watu hawa kwa sasa wanahitaji kupatiwa msaada. Zaidi ya mamilioni ya watu hutumia mpango wa uzazi ili kuepuka mimba lakini hushindwa, kutokana na sababu mbalimbali. Wanaweza kuwa hawakupata maelekezo yaliyo wazi juu ya namna ya kutumia mbinu hii kwa usahihi, hawakuweza kufanya mbinu hii iwafae, hawakujiandaa vizuri kwa ajili ya madhara, au iwapo bidhaa zikiisha. Watu hawa wanahitaji msaada bora sasa.
...
Mwongozo unaozingatia ushahidi ulioandaliwa kwa ushirikiano duniani Mhimili wa Mpango wa Uzazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO)
...
Thank you to WHO - Shirika la Afya Duniani
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all