You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Kuwajali Wanao Watunza
Care for Caregivers (Swahili Translation)
Kimeandikwa na Dr. Roy W. Harris
Mchapishaji RHM Publications
Mwaka 2018
sw
Kurasa 124
Roy Hanis alitoa huduma kwa mke mgonjwa kwa muda wa miaka 3. Anaelewa jinsi wasaidizi wanavyojisikia na anataka kuwasaidia. Ninapokuwa nikisoma kitabu cha kwanza cha kuwajali wanao watunza, nilitambua kuwa kurasa zake zilipangiwa na kuandikwa hata nikashindwa kupumua. Kurasa zake zime jaa ukweli na na mawazo ya msaada sana, natyo imeandikwa na mtu ambaye amekuwepo pale. hii ndio maktaba ya msaada sana ambapo kila mcungaji anapaswa awe nayo. ikiwa unamjua yeyote anaye jali pasi ni vyema ukimpa kopi mojaa ya kitabu hiki Ni njia moja ya kupatana na hali yake maisani. Na maisha na ugumu na maisha inafanyika maisha yaliyo na mfurugu na dhiki na maisha yaliyo magumu yenye diki unapofanyika mlezi wa kujali pasi jifunze kitabu hichi; Nikielelezo kizuri ca kukuweka kwenye mizani nzuri wakati maisha yameenda mrama. ikiwa uliwahi kuhitaji mtunzi, pasi soma kitabu hichi kwa uangalifu sana; kitakusaidia wewe kuweza kuwasaidia wengine wanao jipanga na maisha yao katika hali ya kujali. -Dr. Jack Williams, kiongozi wa mawasiliano,free will Baptist cuo cha Biblia; na pia magazeti. ya mwongozo Ambayo mkee wake ameyapitia. Nikawaza, kuna wengine wengi wanao jail ambao wanaitaji kusikia habari hii. Niluifurahia sana nilipo pata habari na pia kitabu ca kwanza cha kujali wanao kutunza. Lilipo ansa tu kukisoma kitabu hicho, nisingeliweza kukiweka chini kitabu hici ni lazima kwa kila anaye watunza wengine, mchungaji, mwenyekiti, mhelekezi, mhudumu wqa Afya, na yeyote Yule anaye hitaji ufahamu zaidi kuhusu jinsi ya kusaidia na kuwatia moyo wanaowatunza. Asande sana ROY Watu wengi watasaidika na kutiwa moyo nna kitabu hichi. - Dr. Stan Toler alitumika kama muhudumu wa jumla kama suparitendant kanisa la NAZAREENI NA KAMA MCUNGAJI WA KULE Ohio, Florida, Tennessee, na pia oklaoma. Dr Tolaer ameviandika vitabu zaidi ya miamoja vikiuzwa zaidi ya miolioni 3 Ulimwenguni.
...
ISBN: 1947759051
Shukrani kwa RHM Publications
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all