Publisher Kituo cha Sheria, Kenya
Kijitabu hiki kinakupahabari kuhusu haki zako, majukumu na nafasi zilizomo za umma kushiriki kwenye usimamizi wa mazingira hasa kuhusiana na maji, misitu na ardhi kwenye mfumo wa Kiikolojia wa Mau-Mara. Kijitabu hiki pia kinakujulisha kuhusu vipengee vya kisheria vinavyoendeleza uwezo wa kupata ardhi kwa wote, wakiwemo wanawake na watu wenye umri wa kati.
...