Ndugu msomaji,
Leo ni Siku ya Sheria Nchini Tanzania! Ili kuiadhimisha siku hii, tumewaandalia zawadi wapenzi wetu wa Maktaba.org:
Vitabu 20+ kwa Siku ya Sheria
Ukichukua muda wako leo kusoma hata sura moja, ni matumaini yetu mafunzo hayo yatakuwa na manufaa makubwa kwako kama mwananchi na pale utakapokutana na mambo ya sheria katika maisha yako ya baadaye.

Zijue haki zako:
Riwaya & Tamthilia Juu ya Sheria:

Elimu ya Uraia:

Vilevile kuna vitabu vingi zaidi vya Kiingereza juu ya sheria vinavyopatikana mtandaoni.
Vitabu maarafu vinavyopatikana kwa kiingereza pekee:
 
Lakini pia ukiwa Arusha, tuna vitabu vya nakala ngumu juu ya sheria vinapatikana kwa kuazima bure kabisa katika Maktaba ya Elimu Yetu, Kijenge Tindigani). 

Heri ya Siku ya Sheria nchini. Tuiadhimishe Siku hii kwa kujifunza zaidi pamoja kuhusu sheria! 

Tunakushukuru kwa ushirikano wako katika Maktaba.org. 
Asante,
   ~ Maktaba.org