You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

View this book in English Key Principles for Every School Community
Sign up for news and free books by email!
Misingi Mikuu ya Utawala kwa Kila Kamati ya Shule
Haki za binadamu: ushiriki, uwajibikaji, uwazi, demokrasia
sw
Download
1.2 MB
Elimu ni moja ya sekta muhimu zaidi ya maendeleo. Kijitabu hiki kinaelezea misingi mikuu ya kuongoza kamati za shule na wajumbe wake. Lengo ni kusaidia jitihada za Serikali kuimarisha kamati za shule na kupanua njia ambazo wananchi wanaweza kuchangia kuboresha elimu. Misingi ya ushiriki katika kamati za shule ni haki za binadamu, ushiriki, uwajibikaji, uwazi na demokrasia. Ni muhimu kwa kila kamati ya shule kuijadili na kuielewa vyema misingi hii ili kuwa na ufanisi zaidi. Naamini kwamba kwa kuzingatia misingi hiyo kamati zitajenga imani kwa wananchi zinaowawakilisha. Walengwa wakuu wa kijitabu hiki ni kamati za shule za msingi, viongozi wa mitaa na vijiji na shule za msingi. Tunategemea viongozi wa Serikali katika ngazi za mikoa na wilaya kote nchini watafanya jitihada za kuhakikisha kijitabu hiki kinasambazwa na kuwafikia walengwa wote
...
Waandishi: Rakesh Rajani, Mary Nsemwa na Godfrey Telli Wachangiaji: Japhet Makongo, Lilian R. Kallaghe na Kathy Relleen Mhariri: Rakesh Rajani Mfasiri: Rogers Cidosa na Godfrey Telli Katuni: Sammy Mwamkinga Sehemu yoyote ya kijitabu hiki inaweza kunukuliwa na kuchapishwa tena kwa minajili isiyo ya kibiashara; ilimradi inaelezwa wazi kuwa chanzo cha taarifa hiyo ni kijitabu hiki na kwamba nakala mbili za chapisho hilo zinatumwa kwa HakiElimu. ISBN 9987 – 8943 – 3 –X
...
Translated by
Rogers Cidosa, Godfrey Telli
ISBN: 998789433X
Source: www.hakielimu.or.tz/download/misingi-mikuu-ya-utawala-kwa-kila-kamati-ya-shule/
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all