Written by
Publisher Genesis Press, Inc.
A Kiswahili translation of The Merchant of Venice.
SHAILOKI: "Nalazimishwa na nini? Hebu niambie hilo."
POSHIA: "Si tabia ya rehema kutolewa kwa lazima, huanguka kama mvua
nyororo kutoka juu, ikatonekea chini: ina baraka kuwili; hubariki mtoaji,
na pia mpokeaji: Ni nyingi kwa wenye vingi: Humalaiki zaidi mfalme
mwenye taji kulipita taji lake; Kirungu chaake cha enzi ni cha uwezo wa
muda, ambao ni afani yake ya fahari na adhama, ndiyo asili ya kucha na
kuhofu wafalme. Bali rehema yazidi enzi hii ya kirungu; ndiyo yenye
enzi kuu nyoyoni mwa watawala. Ni sifa yake manani, Mwenyezi Mungu
mwenyewe."
The Merchant of Venice is the story of Antonio and his friend Bassanio. Bassanio is in need of money so that he may woo Portia, a wealthy heiress. He asks Antonio for a loan, and Antonio agrees, even though all his money is tied up in shipping ventures. Together they go to Shylock, a moneylender, to request a long against Antonio's shipping ventures. Shylock agrees to the loan at no interest on the condition that if the debt is not repaid Shylock may collect a pound of Antonio's flesh.
...