You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Mjue Diwani
Publisher Policy Forum
Published 2014
sw
Ndugu msomaji, tunayo furaha kukuletea kitabu kipya kiitwacho “Mjue Diwani” ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wetu wa Kikundi Kazi cha Tawala za Mitaa kutoka mtandao wa Policy Forum wa kuwaelimisha wananchi kuhusu utawala wa Serikali za Mitaa na kukuza uwajibikaji katika jamii. Madhumuni ya kitabu hiki ni kuwaelimisha wananchi kuhusu wajibu, majukumu mamlaka, na mipaka ya madiwani ili waweze kudai uwajibikaji kutoka kwa madiwani Kitabu hiki pia kitaweza kuwasaidia madiwani kutambua majukumu yao katika kuwatumikia wananchi. Kitabu hiki sio mwongozo wa Madiwani bali ni kitabu cha jamii ambacho kinaweza kumsaidia Diwani kujitambua na kuwasaidia wananchi kumfahamu Diwani. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo wa maswali na majibu, kwa lugha rahisi na katuni ili kumsaidia mwananchi kuelewa dhana mbalimbali zilizowekwa kwenye kitabu hiki.
...
ISBN: 978-9987-708-14-7
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all