View this book in English Foundations of a Free Society
Sign up for news and free books by email!
Misingi ya Jamii Huru
Written by Eamonn Butler
Publisher Institute of Economic Affairs
Published 2013
sw
Pages 190
Misukosuko ya kisiasa na kiuchumi mara nyingi imepelekea uhuru kushambuliwa. Wakati wa Anguko Kuu la kiuchumi, nchi zote kubwa kiuchumi zilidhibiti biashara kwa kuongeza kodi za forodha. Mwitikio huu wa ghafla uliishia tu kukuza wasiwasi wa kisiasa ya maeneo na kuongeza zaidi hali ngumu ya kiuchumi. Kuibuka kwa tawala za kisoshalisti kulipelekea kugandamizwa kabisa kwa uhuru kwa kiraia, kisiasa na kiuchumi kwa karibu nusu ya dunia.
...
Thank you to Institute of Economic Affairs
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.