Taarifa ya Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu
Faster downloadPublished Year: 1948

Language: sw
Details: Inajulikana pia kama: Tangazo la kilimwengu la haki za binadamu au Azimio la Kimataifa juu ya Haki za Binadamu, Universal Declaration of Human Rights Ona toleo linalolinganisha Kiingereza na Kiswahili
Summary: Jifunze zaidi Katika Disemba 10, 1948, Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lilikubali na kutangaza Taarifa ya Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu. Maelezo kamili ya Taarifa hiyo yamepigwa chapa katika kurasa zifuatazo. Baada ya kutangaza taarifa hii ya maana Baraza Kuu lilizisihi nchi zote zilizo Wanachama wa Umoja wa Mataifa zitangaze na "zifanye ienezwe ionyeshwe, isomwe na ielezwe mashuleni na katika vyuo vinginevyo bila kujali siasa ya nchi yo yote."