We sponsored the creation of 3 pickleball courts in Arusha, Tanzania
Donate Play pickleball Learn more
We also sponsor monthly tennis tournaments Learn more
You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"
You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

View this book in English The History of Kiziba and Its Kings
Sign up for news and free books by email!
Historia ya Kiziba na Wafalme Wake
Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu
Written by
Publisher Mkuki Na Nyota Publishers
Published 2020
sw
Pages 476
Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903–1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wasimulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambacho kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu. Tafsiri hii muhimu itafanya historia ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na Kusini Magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie kwa mara ya kwanza wasomi wengi.
...
Kuhusu Waandishi Kimetafsiriwa na G.B. Kamanzi na kuhaririwa na Peter R. Schmidt Translator: G.B. Kamanzi Editor: Peter R. Schmidt Galasius B. Kamanzi ni msomi wa siku nyingi wa historia ya Kiziba na utamaduni wa Kihaya. Ni mwalimu na mtumishi wa serikali mstaafu. Ana shahada ya kwanza ya Ualimu wa Uchumi na Lugha kutoka Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam na Stashahada ya Juu ya Uongozi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe. Ni mtunzi-mwenza wa Folktales from Buhaya. Peter R. Schmidt ni Profesa Mstaafu wa Anthrolopojia katika Chuo Kikuu cha Florida na ni Profesa wa Kuazima wa Anthropolojia Akiolojia katika Chuo Kikuu cha Pretoria, Afrika ya Kusini. Ametunga na/au kuhariri vitabu 15 kuhusu Historia ya Afrika, simulizi za mdomo, urithi na historia ya kuchimba, vingi kati ya hivyo vikihusu Wahaya. African studies, Anthropology, Culture, Culture/People/Places, Democracy, East Africa, English, Forthcoming, Geography, History, Language, Politics
...
Translated by
G.B. Kamanzi
ISBN: 9987083692
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all
None currently