Mwongozo kwa ajili ya Klabu za Mazingira katika Shule za Msingi
Toleo la Milima ya Tao la Mashariki
Written by
Illustrator Athuman Mgumia, Susie Wonfor
Publisher Tanzania Forest Conservation Group
Published 2011
sw
Pages 27
Ni muhimu sana kuwa na ufahamu kuhusu mazingira, vitu na viumbe vilivyomo na matatizo yake, na ukiweza kupata ufahamu, motisha na kujituma ukiwa shuleni, unaweza kusaidia kuleta mabadiliko katika jamii na katika mazingira unayoishi kwa sasa na baadaye. Mwongozo huu unawapatia walimu na wanafunzi njia ya kuunda klabu ya mazingira, na mbinu za kuifanya klabu iwe endelevu. Mwongozo huu umetayarishwa na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG). TFCG ni shirika lisilo la kiserikali ambalo ujumbe wake ni kuhifadhi na kurudisha bioanuwai ya misitu muhimu kidunia ya Tanzania kwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo
...
ISBN: 9987-8958-1-6
Thank you to Tanzania Forest Conservation Group
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.