View this book in English Inclusion in Action
Elimu-Jumuishi kwa Vitendo
Taarifa ya Warsha Kuhusu Elimu-Jumuishi Iliyofanyika Zanzibar, 7-10 Februari 2006
Mwaka 2007
sw
Kurasa 64
Warsha ililenga yafuatayo • Kwawezesha wanasemina kujifunza na kubadilishana uzoefu na mawazo kuhusu kupanga, kutekeleza na kudurusu/kutathmini kazi za elimu-jumuishi katika muktadha wa nchi inayoendelea. • Kuonesha njia shirikishi za kujifunza (katika warsha) ambazo pia zinaweza kutumika katika uongozi wa projekti na mazoezi darasani ili kiwashirikisha na kuwajumuisha zaidi washiriki. • Kuwasaidia wanasemina kufikiri na kuendeleza mipango yao kwa maendeleo zaidi kuhusu elimu-jumuishi.
...
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.