Elimu-Jumuishi kwa Vitendo
Taarifa ya Warsha Kuhusu Elimu-Jumuishi Iliyofanyika Zanzibar, 7-10 Februari 2006
Faster downloadPublished Year: 2007

Language: sw
Summary: Warsha ililenga yafuatayo • Kwawezesha wanasemina kujifunza na kubadilishana uzoefu na mawazo kuhusu kupanga, kutekeleza na kudurusu/kutathmini kazi za elimu-jumuishi katika muktadha wa nchi inayoendelea. • Kuonesha njia shirikishi za kujifunza (katika warsha) ambazo pia zinaweza kutumika katika uongozi wa projekti na mazoezi darasani ili kiwashirikisha na kuwajumuisha zaidi washiriki. • Kuwasaidia wanasemina kufikiri na kuendeleza mipango yao kwa maendeleo zaidi kuhusu elimu-jumuishi.