View this book in English I Had a Dream to Finish School: Barriers to Secondary Education in Tanzania
Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Nilikuwa na Ndoto ya Kumaliza Shule: Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania
Muhtasari na Mependekezo Muhimu
Mchapishaji Human Rights Watch
Mwaka 2017
sw
Kurasa 20
Pakua 6.1 MB
Kama ilivyo kwa vijana mamilioni wa Tanzania, Imani, 20, kutoka Mwanza, mkoa wa Kaskazini Magharibi uliyopakana na Ziwa Victoria, alitaka kusoma kadri awezavyo ili aweze kuhitimu, kupata kazi, na aweze kujikimu na kusaidia familia yake. Napenda kusoma ili niwe na mawazo mapana. Hakuna ambacho sikupenda kusoma. Nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule niende chuo nihitimu, na nifanye kazi kama muhasibu.1> Matarajio ya Imani yalibadilika alipokutana na Changamoto katika elimu yake ya sekondari.
...
Ni Muhtasari uliofupishwa wa Repoti ya Human Rights Watch baada ya utafiti uliofanyika katika Mwanza, Tanzania. Soma reporti nzima hapa kwa Kiingerenza
...
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.