Nilikuwa na Ndoto ya Kumaliza Shule: Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania

Muhtasari na Mependekezo Muhimu

Faster download
Download 6.1 MB

Published Year: 2017

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Ni Muhtasari uliofupishwa wa Repoti ya Human Rights Watch baada ya utafiti uliofanyika katika Mwanza, Tanzania. Soma reporti nzima hapa kwa Kiingerenza

Summary: Kama ilivyo kwa vijana mamilioni wa Tanzania, Imani, 20, kutoka Mwanza, mkoa wa Kaskazini Magharibi uliyopakana na Ziwa Victoria, alitaka kusoma kadri awezavyo ili aweze kuhitimu, kupata kazi, na aweze kujikimu na kusaidia familia yake. Napenda kusoma ili niwe na mawazo mapana. Hakuna ambacho sikupenda kusoma. Nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule niende chuo nihitimu, na nifanye kazi kama muhasibu.1> Matarajio ya Imani yalibadilika alipokutana na Changamoto katika elimu yake ya sekondari.