Uandaaji wa mwongozo huu umeainisha taratibu mbalimbali
zitumikazo katika kusikiliza mashauri ya jinai na madai na
umezingatia -
- 1. Muundo na mamlaka ya Mahakama;
- 2. Taratibu za ufunguaji Mashauri ya Jinai, Madai, Ndoa, Mirathi, Kazi, Biashara, Ardhi na katika Mahakama za watoto;
- 3. Taratibu za rufaa na nafuu zinginezo kama marejeo, mapitio na masahihisho;
- 4. Ada mbalimbali;
- 5. Taratibu za dhamana;
- 6. Ushahidi na namna ya kuthibitisha;
- 7. Upatikanaji wa hukumu;
- 8. Utekelezaji wa hukumu; na
- 9. Taratibu za kupokea na kusikiliza malalamiko.
...
Thank you to Tanzania Legal Information Institute
Download free pdfs
Free books by category
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books:
Browse all
No Books Found
Based on the filters you selected, there are currently no books.