New announcements
Discussions
Collections
Proverbs
We send out a newsletter with proverbs, descriptions and a custom created image.
Sign up to receive this email daily, weekly or monthly!
Preview of recent emails
What you don't know is like the darkness of night
by Ibrahim Nyanda 🏆 Proverb Essay Contest"Why is it that our village is not developed compared to other villages around us? Many young people our age from other villages have studied, and some hav...Read more ->
Share your thoughts
Usilolijua ni kama usiku wa giza
"na Ibrahim Nyanda 🏆 Shindano la Insha ya Methali“Ni kwa nini kijiji chetu hakina maendeleo ukilinganisha na vijiji vingine vinavyotuzunguka? Vijana wengi kutoka vijiji vingine wa umri wetu wameso...Read more ->
Share your thoughts
Mchumia juani, hulia kivulini
na Magreth Lazaro Mafie 🇹🇿🏆 Shindano la Insha ya Methali 🥉 Mshindi wa TatuNi mara ngapi umesikia Mchumia juani hulia kivulini? Hii ni methali ya kiswahili (kibantu) yenye maana ya kuwatia moyo wa...Read more ->
Share your thoughts
Work in the sun, eat in the shade
by Magreth Lazaro Mafie 🇹🇿🏆 Proverb Essay Contest 🥉 Third Place Winner (English translation from Kiswahili)How many times have you heard “Mchumia juani hulia kivulini” (One who works in the sun,...Read more ->
Share your thoughts
Akiba Haiozi
na Rose Mwanri 🇹🇿 🏆 Shindano la Insha ya Methali 🥈 Mshindi wa Pili Akiba Haiozi Methali ni usemi wa kimafumbo unaotumika katika jamii. Maneno katika methali huwa na maana ya ziada na methali huw...Read more ->
Share your thoughts
Savings don't rot
by Rose Mwanri 🇹🇿 🏆 Proverb Essay Contest 🥈 Second Place WinnerA proverb is a metaphorical expression used in a community. Words in proverbs have additional meanings and proverbs have two sides. ...Read more ->
Share your thoughts
Maji yaliyotulia ndiyo yenye kina kirefu
na Nankya Sauda 🇺🇬Shindano la Insha ya Methali 🏆Mshindi wa Kwanza 🥇 Maji yaliyotulia ndiyo yenye kina kirefu Umewahi kuchukua muda na kujiuliza kwa nini wazee huwa wana busara zaidi kuliko vijana?...Read more ->
Share your thoughts