Today is the last day of Black History Month in the United States, and we want ask you: What organizations or events do you know of are educating people all year round? Also, mention if you participated in any great events this month!
Marekani, leo ni siku ya mwisho ya Mwezi wa Historia ya Watu Weusi, na tunataka kuwauliza: Je, mnajua mashirika yanayoelimisha watu kuhusu Historia ya Waafika mwaka mzima? Pia, taja kama ulihudhuria sherehe nzuri mwezi wa pili!