Marekani, mwezi wa pili ni Mwezi wa Historia ya Watu Weusi, desturi iliyofikiriwa na Carter G. Woodson ili kusherehekea historia ya Waafrika na wanadiaspora. Hivi karibuni katika Maonyesho ya Umoja, tulisikia wito tutoke "Mwezi wa Historia ya Waafrika" twende "Maisha ya Historia ya Watu Weusi. Yangekuwaje?
Kama umehamasishwa na yale uliyojifunza mwezi huu, jiulize: utayashughulikia vipi?
Maktaba tuna shauku kubwa ua kuwaunganisha wasomi Waafrika na wa dunia ili kusoma historia zao na kubuni pamoja Mustakabali wa Watu Weusi.
Jiunge sasa