Linda Kileo ni mwalimu hapa Tanzania, Moshi shule ya UWCEA. Somo ninalofundisha ni Kiswahili kwa wanafunzi kuanzia miaka 7 mpaka 18. Wanafunzi hawa ni mchanganyiko wa mataifa mbali mbali ila watanzania ni asilimia kubwa zaidi. Napenda kuendelea kujifunza na kufundisha Kiswahili.