Mimi ni Mwalimu WA lugha ya Kiswahili Uganda Kwa shule za upili, chip kikuu na Kwa wafanyikazi wanaoenzi kujifunza Kiswahili afisini na Kwa shughuli za kibinafsi. Nahitaji vitabu vya wanaojifunza lugha ili huduma hii irahisishwe.