Kwa majina ninaitwa Yusuph Jumanne, mwalimu kutika shule ya Mwanza International school mwanza. Ninafundisha wanafunzi wa sekondari somo la Kiswahili pamoja na Kingereza. Mimi ni mkazi wa ghana Mwanza.