Mimi ninaitwa Boniface ni Mwalimu wa Geography na kiswahili kwa shule za secondary ninapenda kusoma vitabu tofauti tofauti ili kuongeza maarifa.