Naitwa Onesmo Herman Simfukwe, ni mzaliwa wa Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Momba, Tarafa ya Msangano. Kwa Sasa Niko Mkoa wa MWANZA, ni mwalimu Shule ya msingi katika halmashauri ya Sengerema.