Natoka Ubaski. Mwaka 2008 nilitembelea Tanzania na wakati huo huo nilijifunza kusema Kiswahili kidogo. Sasa ningependa kusoma riwaya kadhaa.