Mimi ni mlezi wa Vijana katika Asasi ya kiraia inaitwa UYODEO(Upendo youth Development organization) inafanya kazi Wilaya Kilwa na Liwale Mkoa wa Lindi ningependa kujifunza toka kwa wengine namna ya kuwasaidia vijana. Asante sana.