Hamjambo nyote, mimi ni mwalimu wa lugha za kigeni kama vile Kifaransa na Kiajemi. Lakini, ninafundisha pia Kiingereza na Kiswahili. Ninafuraha tele kuwa hapa.