Hello, I'm Giulia, from Italy. I'm studying African languages and cultures at uni, I'm here to improve my Swahili Habari, jina langu Giulia, ninatoka Italy. Mimi ni mwanafunzi wa lugha na tamaduni za Kiafrika. Ninasoma Kiarabu na Kiswahili. Niko hapa kuboresha Kiswahili changu