Naitwa James Ngoinyeye nasoma Elimu Yetu masomo ya kompyuta, umeme, ujasiriamali na uchoraji pia ninakipaji ya uchoraji, na kucheza mpira pia napenda kusoma vitabu karibuni Elimu yetu tupate kusoma kwa pamoja na mkutubi wetu ambae ni mshauri mzuri anaehamasisha katika umuhumi na utamaduni wa kusoma vitabu mara kwa mara