You are now browsing in Swahili. Switch to
English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa
Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine
Naitwa Loveness Abraham
Nasoma Elimu Yetu Nasomea Computer, English na Ususi, napenda Kusoma Vitabu, Kucheza na Watoto, kufanya Mazoezi ya Mwili, Kusaidia Watu.
Ninapenda Kusoma Vitabu Katika Maktaba ya Elimu Yetu KARIBUNI SANA KATIKA MAKTABA YA ELIMU YETU TUSOME PAMOJA 🙏