Naitwa Loveness Abraham Nasoma Elimu Yetu Nasomea Computer, English na Ususi, napenda Kusoma Vitabu, Kucheza na Watoto, kufanya Mazoezi ya Mwili, Kusaidia Watu. Ninapenda Kusoma Vitabu Katika Maktaba ya Elimu Yetu KARIBUNI SANA KATIKA MAKTABA YA ELIMU YETU TUSOME PAMOJA 🙏