Mimi ni Mzee wa miaka 78. Nimefanya kazi ya uhasibu kwenye kampuni tofauti. Kwa ujumla nafurahia kujua lugha tofauti tofauti na hasa ningependa kupanua ujuzi wangu wa Kiswahili.