You are now browsing in English. Switch to
Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa
Kiswahili"
You need to login to view profiles OR to update your profile
Naitwa Erick Lema, natokea Arusha,kijenge. Nasoma Elimu yetu masomo ya computer mapishi biashara mziki maigizo na English course. Napenda huduma ya maktaba na ushirikiano wa mkutubi wetu katika kuhamasisha kusoma vitabu. Asante Sanaa kwa tovuti hii Bora ya kujisomea vitabu popote pale.