You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!

Michango mipya
157
vitabu
24
Wachangiaji

p1_header

Asante kwa kuchangia Maktaba.org, mradi unaosaidia Elimu Yetu Development Organization, shirika lisilo la kiserikali liliopo Arusha, Tanzania.
Michango yako ya karimu hutuwezesha kutimiza dhumuni yetu ya kutoa elimu bure kwa watoto, vijana na watu wazima.
Tunakualika ushiriki na ujiunge na jumuiya yetu ya kimataifa ya kujifunza hapa Maktaba.org, ili uweze kuungana na watu wengine duniani kote wanaothamini elimu, kujadili vitabu na kuona jinsi mchango unavyotumika.
...
Jitihada ya kuchangia vitabu

Tunataka vitabu unavyopenda zaidi katika maktaba yetu! Shiriki orodha yako na changia vitabu popote ulipo.

...
Washiriki

Shirikiana nasi kuanzisha au kuendeleza maktaba ya jumuiyah na kuiweka mtandaoni! Anzisha “Jitahidi ya Kupata Michango” kijijini kwako.

...
Kwa Wachangiaji

Fuatilia matumizi ya michango yako, tangaza kitabu chako kwenye maktaba na jadili na wasomi wapya.

Tunategemea wafadhali wakarimu kama wewe kuendelea kutoa huduma ili kuendelea kuitumikia jamii yetu.
Tafadhali waambie marafiki zako, familia na majirani kuhusu Elimu Yetu na uliza kama wana lolote la kuchangia. Tunakubali kifedha na michango ya aina yote. Elimu Yetu kwa sasa inahitaji:
Vitabu
Vifaa vya shule
Chakula
Vifaa vya michezo
Kompyuta, kompyuta mpakato na kompyuta za mkononi.
Kitu cha thamani zaidi unaweza kuchangia ni muda wako. Elimu Yetu kwa sasa inatafuta watu wa kujitolea kufundisha masomo yote na washauri wa wanafunzi wa rika zote. Huna haja ya kuwa na cheti cha kufundisha au kujua Kiingereza. Kama una ujuzi au kipaji, tafadhali njoo ujiunge na jamii yetu na ushiriki na wengine.

p2_header

Haki za Mchangiaji

Kujulishwa ya jinsi mchango wako unatumika kuendeleza dhamira yetu ya sadaka ya elimu bure kwa watoto na vijana na watu wazima.
Kushiriki katika jumuiya kujifunza mtandaoni kwetu.
kupokea kutambuliwa na umma kwa zawadi yako katika maktaba.org. (Ukipenda usijulikane, pia una haki ya kuondolewa jina lako kutoka kwenye ukurasa wa mchango katika tovuti yetu. Tafadhali wasiliana nasi: maktaba@elimuyetu.org)
Kutembelea Maktaba ya Elimu Yetu jijini Arusha nchini Tanzania na kualikwa kwenye tukio maalum la kutambuliwa kwa mfadhili.
Kuwa mwanachama wa maktaba ya Elimu Yetu, kujiandikisha na madarasa bure na azima vitabu.
Maswali kuhusu mchango wako unavyotumika na kupokea haraka majibu ya kweli.
Kupokea cheti rasmi na risiti kutambua mchango wako na kukuhitimu kupokea faida ya kodi nchini Tanzania
Kushiriki maoni yako kwa uhuru na ushauri kwa viongozi wa Elimu Yetu namna ya kuboresha maktaba.