You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Moduli kwa Shule za Msingi: Darasa la 1 - 2
Mchapishaji Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)
sw
Mafunzo kazini kwa walimu ni muhimu ili kuboresha ufundishaji na ujifunzaji. Mafunzo haya humwezesha mwalimu kujenga umahiri wa kutekeleza mtaala wa darasa la I na II kwa ufanisi. Moduli hii imeandaliwa ili kukujengea umahiri wa kufundisha masuala mtambuka. Aidha, utajifunza namna ya kumwezesha mwanafunzi kujenga umahiri wa Elimu ya mazingira, Mazingira salama kwa mtoto, Haki za mtoto, Elimu ya jinsia, Stadi za maisha, VVU na UKIMWI na Elimu jumuishi. Lengo la moduli Lengo la moduli hii ni kukuwezesha kujenga umahiri wa kufundisha masuala mtambuka kwa wanafunzi wa darasa la I na II kwa ufanisi.
...
1. Moduli ya Kufundisha Masuala Mtambuka 2. Moduli ya Kufundisha Kuandika 3. Moduli ya Kufundisha Kuhesabu 4. Moduli ya Kufundisha Kusoma
...
Shukrani kwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)
Create an account to...
View comments and discuss this book!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all