Moduli kwa Shule za Msingi: Darasa la 1 - 2

Faster download
Book Thumbnail

Language: sw

Details: 1. Moduli ya Kufundisha Masuala Mtambuka 2. Moduli ya Kufundisha Kuandika 3. Moduli ya Kufundisha Kuhesabu 4. Moduli ya Kufundisha Kusoma

Summary: Mafunzo kazini kwa walimu ni muhimu ili kuboresha ufundishaji na ujifunzaji. Mafunzo haya humwezesha mwalimu kujenga umahiri wa kutekeleza mtaala wa darasa la I na II kwa ufanisi. Moduli hii imeandaliwa ili kukujengea umahiri wa kufundisha masuala mtambuka. Aidha, utajifunza namna ya kumwezesha mwanafunzi kujenga umahiri wa Elimu ya mazingira, Mazingira salama kwa mtoto, Haki za mtoto, Elimu ya jinsia, Stadi za maisha, VVU na UKIMWI na Elimu jumuishi. Lengo la moduli Lengo la moduli hii ni kukuwezesha kujenga umahiri wa kufundisha masuala mtambuka kwa wanafunzi wa darasa la I na II kwa ufanisi.