Azimio la Umoja wa Mataifa Kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu
Declaration on Human Rights Defenders - Swahili Translation
Written by United Nations
Publisher The Human Rights Centre Uganda
Published 2009
sw
Download 0.8 MB
Moja ya changamoto inayowakumba watetezi wa Hakiza Binadamu ni ukosefu wa kupata/kupokea taarifa muhimu ambazo zingeweza kulinda,kutetea na kuheshimu misingi ya mfumo wa Haki za Binadamu pamoja na Kuwasaidia watetezi na usalama wa kutosha katika shughuli/kazi zao. Katokana na hayo,Taasisi ya Haki za binadamu Uganda Umetafsiri Azimio la Umoja wa mataifa kwa Watetezi wa Haki za Binadamu katika Lugha tano za kitamaduni/kibantu ambazo ni Ateso,Kiswahili,Luganda,Luo (Acholi na Lango), Runyakitara (Runyankore –Rukiga na Runyoro- Rutooro). Lengo Kuu la tafsiri hizi ni kutoa nafasi ya taarifa kwa Azimio la Umoja wa Mataifa kwa watetezi wa Haki za Binadamu Kuongeza matumizi sahihi ya lugha hizo na tafsiri zake ili kutoa ueleo sahihi kati ya watetezi wa Haki za Binadamu kuanzia kwenye mzizi katika Jamii mbalimbali.
...
Kitabu hiki kimeandikwa kwa faida ya watetezi wa haki za binadamu. Inaruhusiwa kunukuu au kunakili ilimradi chanzo na waandishi wanatajwa bayana. Thank you to: The Human Rights Centre Uganda
...
Thank you to The Human Rights Centre Uganda
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.