Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Mafunzo ya Kazini ya Walimu kwa Ajili ya Kutathmini Elimu kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum
Mchapishaji Wizara Ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mfuko wa Aga Khan Taasisi ya Utafiti Ya Marekani
Mwaka 2006
sw
Pakua 0.3 MB
Tokea zamani, watu wenye mahitaji maalumu, hasa wale wenye ulemavu wa akili na wenye tabia zenye usumbufu, walichukuliwa kuwa hawawezi kufaidika na elimu. Wazo hili bado lipo katika jamii. Cha kustajabisha na kutisha kuhusu wazo hili ni kwamba, hata baadhi ya walimu mbali mbali, ambao ni jukumu lao kuwafunza watoto hawa, wanaamini hivyo. Wazo hili halina ukweli wowote. Elimu ikitafsiriwa kuwa ni matayarisho ya kuishi katika jamii; basi hakuna kundi lolote la watu wenye mahitaji maalumu katika elimu (MME) linaloweza kuchukuliwa kuwa halifaidiki na elimu.
...
Effective learning for all : module 3 -- behaviour management strategies for children with special needs in an inclusive setting [Kiswahili] Authors: Samuel Wanyera, Mohammed Mwinyi Ramadhan, Stephen Raggui Kariuki, Eva Naputuni Nyoike
...
Shukrani kwa Wizara Ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mfuko wa Aga Khan Taasisi ya Utafiti Ya Marekani
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.