Mafunzo ya Kazini ya Walimu kwa Ajili ya Kutathmini Elimu kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Faster download
Download 0.3 MB

Published Year: 2006

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Effective learning for all : module 3 -- behaviour management strategies for children with special needs in an inclusive setting [Kiswahili] Authors: Samuel Wanyera, Mohammed Mwinyi Ramadhan, Stephen Raggui Kariuki, Eva Naputuni Nyoike

Summary: Tokea zamani, watu wenye mahitaji maalumu, hasa wale wenye ulemavu wa akili na wenye tabia zenye usumbufu, walichukuliwa kuwa hawawezi kufaidika na elimu. Wazo hili bado lipo katika jamii. Cha kustajabisha na kutisha kuhusu wazo hili ni kwamba, hata baadhi ya walimu mbali mbali, ambao ni jukumu lao kuwafunza watoto hawa, wanaamini hivyo. Wazo hili halina ukweli wowote. Elimu ikitafsiriwa kuwa ni matayarisho ya kuishi katika jamii; basi hakuna kundi lolote la watu wenye mahitaji maalumu katika elimu (MME) linaloweza kuchukuliwa kuwa halifaidiki na elimu.