You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Ufundishaji wa Kusoma - Muongozo wa Mwezeshaji wa Mafunzo
Toleo la Kiswahili, Darasa la 1-2
Mchapishaji 21st Century Basic Education Program (TZ21)
Mwaka 2013
sw
Pakua
7.7 MB
Muongozo huu ni kwa mwezeshaji atakayeshiriki mafunzo yanayowalenga walimu wanaofundisha Kiswahili darasa la kwanza na la pili. Muongozo huu utatumika sanjari na kitini cha mafunzo ya walimu, muongozo wa mwalimu katika ufundishaji wa usomaji na mawanda na mtiririko wa kufundisha usomaji kwa darasa la kwanza. Hali kadharika, muongozo huu utamsaidia mwenzeshaji kuwa na mpangilio mzuri wenye kufuata hatua kwa hatua ili kumfanya mshiriki wa mafunzo kushiriki kikamilifu katika kujifunza njia fanisi za ufundishaji na ujifunzaji wa usomaji.
...
Muongozo huu wa mwezeshaji wa mafunzo umechapishwa na TZ21 kwa msaada wa watu wa Marekani kupitia shirika la msaada la Marekani (USAID) na kuwezeshwa na Creative Associates International.
...
Shukrani kwa 21st Century Basic Education Program (TZ21)
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all