Ufundishaji wa Kusoma - Muongozo wa Mwezeshaji wa Mafunzo

Toleo la Kiswahili, Darasa la 1-2

Faster download
Download 7.7 MB

Published Year: 2013

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Muongozo huu wa mwezeshaji wa mafunzo umechapishwa na TZ21 kwa msaada wa watu wa Marekani kupitia shirika la msaada la Marekani (USAID) na kuwezeshwa na Creative Associates International.

Summary: Muongozo huu ni kwa mwezeshaji atakayeshiriki mafunzo yanayowalenga walimu wanaofundisha Kiswahili darasa la kwanza na la pili. Muongozo huu utatumika sanjari na kitini cha mafunzo ya walimu, muongozo wa mwalimu katika ufundishaji wa usomaji na mawanda na mtiririko wa kufundisha usomaji kwa darasa la kwanza. Hali kadharika, muongozo huu utamsaidia mwenzeshaji kuwa na mpangilio mzuri wenye kufuata hatua kwa hatua ili kumfanya mshiriki wa mafunzo kushiriki kikamilifu katika kujifunza njia fanisi za ufundishaji na ujifunzaji wa usomaji.