Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Diwani ya Hadithi za Wanyama
Hadithi 50 Fupi kwa Watoto
Kimeandikwa na AfricanStorybook.org
Mchapishaji Maktaba ya Elimu Yetu
Mwaka 2021
sw
Pakua
24.6 MB
Kitabu hiki kimeandaliwa na maktaba.org, mradi wa Elimu Yetu Development Organization unaolenga kukuza utamaduni wa usomaji Afrika Mashiriki. Unaweza kupakua hadithi zote na kumsomea mtoto muda wowote. Hadithi na picha zilizopo ndani zinatoka African Storybook. Tunawashukuru sana AfricanStorybook.org kwa kutoa vitabu bure kwa watoto wote wa Afrika. Ukitaja waandishi, inaruhusiwa kunakili, kuiga, kupiga chapa, kutafsiri na kusambaza kitabu hiki, popote ulipo. Kitabu hiki na vitabu vingi zaidi vinapatikana bure kwenye tovuti yetu, maktaba.org.
...
Shukrani kwa Maktaba ya Elimu Yetu
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.