Diwani ya Hadithi za Wanyama

Hadithi 50 Fupi kwa Watoto

Faster download
Download 24.6 MB

Published Year: 2021

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Kitabu hiki kimeandaliwa na maktaba.org, mradi wa Elimu Yetu Development Organization unaolenga kukuza utamaduni wa usomaji Afrika Mashiriki. Unaweza kupakua hadithi zote na kumsomea mtoto muda wowote. Hadithi na picha zilizopo ndani zinatoka African Storybook. Tunawashukuru sana AfricanStorybook.org kwa kutoa vitabu bure kwa watoto wote wa Afrika. Ukitaja waandishi, inaruhusiwa kunakili, kuiga, kupiga chapa, kutafsiri na kusambaza kitabu hiki, popote ulipo. Kitabu hiki na vitabu vingi zaidi vinapatikana bure kwenye tovuti yetu, maktaba.org.