Mashujaa Waleta Mabadiliko

Malengo ya Dunia kwa Maendeleo Endelevu

Faster download
Download
3.3 MB

Published Year: 2015

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Hadithi - Josh Elder, Natabara Rollosson na Sean Southey Sanaa - Grace Allison na Karl Kesel Mchoraji wa picha - Type One International, Inc. - Amy Tookey Tahariri - Josh Elder Usanifu wa Kitabu - Ed Roeder Tafsiri zimetolewa na Translation By Design Mtafsiri wa Kiswahili - Boniface Kyalo Katuni Zaunganisha Mataifa: Heroes for Change copyright © 2015 by Project Everyone, PCI Media Impact and Reading With Pictures. Maelezo haya yanasambazwa bila malipo chini ya Leseni ya Kimataifa ya Creative Commons ya Sifa ya Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0. Kwa maelezo zaidi: https://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/4.0

Summary: Hii ni dunia. Kulingana na sayari, dunia ni muhimu sana. Ni dunia iliyojaa maajabu... yote ni ya asili... na yali ambayo sisi wenyewe tumeyabuni. Lakini hakuna chochote duniani kinachostaajabisha sana kama mabilioni ya watu wanaoijua kama makao yao. Kwa kuwa sisi tuna kitu maalum ndani yetu: uwezo wa kuwaza dunia bora na kisha kuchukua hatua huifanya kuwa kweli. Kwa hakika hilo ni uwezo mkubwa. Na tukitumia uwezo huo kuwasaidia wengine, si hiyo inaweza kutufanya sisi wote... kuwa Mashujaa wa kipekee?