You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Mashujaa Waleta Mabadiliko
Malengo ya Dunia kwa Maendeleo Endelevu
Mchapishaji Katuni Zaunganisha Mataifa
Mwaka 2015
sw
Pakua 3.3 MB
Hii ni dunia. Kulingana na sayari, dunia ni muhimu sana. Ni dunia iliyojaa maajabu... yote ni ya asili... na yali ambayo sisi wenyewe tumeyabuni. Lakini hakuna chochote duniani kinachostaajabisha sana kama mabilioni ya watu wanaoijua kama makao yao. Kwa kuwa sisi tuna kitu maalum ndani yetu: uwezo wa kuwaza dunia bora na kisha kuchukua hatua huifanya kuwa kweli. Kwa hakika hilo ni uwezo mkubwa. Na tukitumia uwezo huo kuwasaidia wengine, si hiyo inaweza kutufanya sisi wote... kuwa Mashujaa wa kipekee?
...
Hadithi - Josh Elder, Natabara Rollosson na Sean Southey Sanaa - Grace Allison na Karl Kesel Mchoraji wa picha - Type One International, Inc. - Amy Tookey Tahariri - Josh Elder Usanifu wa Kitabu - Ed Roeder Tafsiri zimetolewa na Translation By Design Mtafsiri wa Kiswahili - Boniface Kyalo Katuni Zaunganisha Mataifa: Heroes for Change copyright © 2015 by Project Everyone, PCI Media Impact and Reading With Pictures. Maelezo haya yanasambazwa bila malipo chini ya Leseni ya Kimataifa ya Creative Commons ya Sifa ya Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0. Kwa maelezo zaidi: https://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/4.0
...
Kimetafsiriwa na
Boniface Kyalo
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all