Kilimo cha kiekolojia cha Wakulima Wadogo Hufanikisha Haki za Mazingira

Faster download
Book Thumbnail

Language: sw

Details: Kiongozi hiki kimeandaliwa kikiwa ni sehemu ya mradi wa Kuendeleza utetezi wa ulinzi wa hali ya hewa kwa ajili ya manufaa ya wakulima wadogo katika ukanda wa Kusini na Mashariki mwa Afrika uliobuniwa na kutekelezwa kwa kushirikiana na Afrika Kontakt na La Via Campesina kwa upande wa ukanda wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (LVC – SEAF), pamoja na michango kutoka kwa marafiki.

Summary: Lengo la kitabu hiki cha mwongozo ni kuonyesha athari za mabadiliko ya tabianchi zinazowakabili wakulima wadogo, lakini pia kugusia suluhisho ambazo wanaweza kuzitumia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mwongozo huu umeandaliwa kwa kuzingatia maarifa ya wakulima wadogo kutoka Uganda, Tanzania, Zimbabwe, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, na Msumbiji. Kutokana na ukweli kuwa jamii za zilizoko katika nchi hizo wanategemea sana mazingira asilia na maliasili zake, wamekuwa wahanga wakubwa wa athari za mabadiliko ya tabianchi. Lakini uhusiano wao wa karibu na mazingira umewesha uwepo wa maarifa kutoka kizazi kimoja hadi kingine ambayo yanatumika kukabiliana na janga la mabadiliko ya tabianchi.